Category: Survey & Research
Status: In Progress
Job Description
Tafadhali piga picha za jokofu lako na eneo la kuhifadhi viungo. (Please take photos of your ref rigerator and seasoning storage area.)
Survey Details:

Kampuni ya Kijapani inayotengeneza sosi (sauce) inataka kuelewa hali halisi ya sosi (sauce) na viungo vya chakula nchini Tanzania kama sehemu ya mpango wake wa kupanua biashara barani Afrika. Hivyo basi tunakuomba kushiriki utafiti huu mdogo kwa kupiga picha ndani ya friji yako ya nyumbani hususani sehemu ya kuhifadhia viungo vya kupikia pamoja na sehemu unayohifadhia viungo hivo jikoni na utume kupitia App.
Utafiti huu unahitaji washiriki au kaya 10 tu ndani ya wiki moja kuanzia siku itakayo tangazwa. Kila mshiriki atalipwa Tsh 2,000/=. Malipo yatafanyika kwa njia ya simu kupitia namba iliosajiliwa kwenye App ndani ya wiki moja baada ya kazi kukamilika.
※Kwa maswali au maelezo zaidi, chati nasi kupitia App au tupigie kwenye namba 0689474116.
※Tuna thamini mchango wako, asante.
【English】
A Japanese sauce manufacturer is interested in understanding the actual state of sauces and seasonings in Tanzania as part of its expansion into Africa.
Please take and send photos of the contents of your home refrigerator (both the entire interior and the seasoning storage area) and your kitchen spice storage space.
※ Targeted at Every Family, 10 people are being recruited. The reward is TZS 2,000.
※ The reward will be paid via mobile money within one week after the job is completed.
Required Respondents: 10
Target Demographics: Every Family

Survey Details
Survey Topic: Tafadhali piga picha za jokofu lako na eneo la kuhifadhi viungo. (Please take photos of your ref rigerator and seasoning storage area.)
Survey Detail:

Target Audience: Every Family
Number of Respondents: 10
Budget: TZS 2000.00
Application Deadline: 28/01/2026 23:59
Task Completion Date: 30/01/2026 23:59
Posted by: WASSHA Admin
Job Information
Posted: 23/01/2026 08:41
Please login to apply for this survey or chat with the survey owner.